Adventure
FEY FADUL
0
1500
Paliwahi kutokea mwadada mrembo na mashuhuri Tanzania, alijulikana kama Agnes Masogange ingawa alishatangulia mbele ya haki(R.I.P).
Miaka saba baaaye ninakutana na 'Masogange' mwingine katika kijiji cha mbali kabisa huko nyanda za juu kusini. Kwa sura na wajihi, simtofautishi na yule masogange halisi ambaye dunia inatambua hatupo naye duniani. Lakini jamii ya kijiji hiki hawana wajualo kuhusu Masogange halisi, ingawa huyu wa kwao wamezoea kumwita Pamela Masogange.
Anafanya nini katika kijiji hiki?