MPELEKEE HII BARUA (DADA MKUU)

Thriller

FLORINE WILHELM SENGA

2

2000

Utafanyaje endapo ukipewa bahasha na kiongozi wako, mtu mwenye nguvu na mamlaka juu yako ili uipeleke kwa mtuwe? Je, utapingana na maagizo yake kwa vile barua hiyo inapaswa kwenda kwa mwanamke wake?

Najua huwezi kukataa.

Lakini vipi ikitokea sadfa kwamba jina la mwanamke aliyeandikiwa kwenye bahasha hiyo ni jina halisi la mpenzi wako?  Na mbaya zaidi mahali unapoelekezwa kuipeleka ndipo alipo mwanamke wako? Utafanya nini wewe?

Basi huu ndiyo mtihani ulionikuta - kupeleka barua yake kwa mpenzi wangu pasipo yeye mwenyewe kujua....