NYWILA ZA MAISHA; UHAI NA HATIMA

Non- Fiction

FLORINE WILHELM SENGA

0

2000

Maisha ni kama safari. Safari isiyokuwa na malengo ni safari isiyo na faida. Na katika safari yenye malengo, nidhamu na maarifa sahihi ni kati ya nguzo zinazposaidia kufika salama. 

Katika Nywila za Maisha, hatujifunzi tu siri za maisha pekee, bali asili ya uhai na namna ya kufikia hatima njema mwisho wa safari ya uhai.