NILIWAHI KUWA KAHABA

Fantasy

FLORINE WILHELM SENGA

10

2000

Akiwa katika banda lake la kuuzia matunda, anakutana na mwanaume mwenye pesa. Lengo la mwanaume huyu halioneshi kutofautiana na wanaume wengine wanaokuja kuulizia matunda na kumbe lengo lao ni muuza matunda mwenyewe. Kama alivyofanya kwa wengine, hampi nafasi mwanaume huyu pia.

Ni hapo kizungumkuti kipya kinaibuka baada ya mwanaume huyu kumpa maneno yaliyomrudisha kwenye maisha yake ya kale...