Thriller
FLORINE WILHELM SENGA
0
2000
Safari yangu ya kuelekea Morocco inanikutanisha na Peris Mabovu, kijana shombe wa Kitanzania anayekwenda kushiriki shindano la Taekwendo. Kila ninavyozidi kumsikiliza ndivyo navyozidi kumzoea, na kadiri navyomzoea ndivyo navyozidi kuelekea kwenye giza ambalo sikuwahi kuota maishani. Napokuja kushtuka, Peris ananiuliza, Unaogopa giza?