DADA SABINA

Fantasy

FLORINE WILHELM SENGA

0

2000

Safari ya kwenda chuo kikuu cha Mzumbe, inakatizwa na mwanamke niliyekutana naye katika basi linaloenda Morogoro. Pengine kila kitu kingebaki katika ratiba na mpangilio wake, endapo asingepiga simu Morogoro na kupewa taarifa za msiba. Hiyo simu ndiyo iliyobadilisha kila kitu....