Fantasy
FLORINE WILHELM SENGA
16
2000
Alionekana kama kichaa wa kawaida mbele ya jamii. Lakini baada ya watoto wawili watukutu kugundua siri yake, mambo yanabadilika.
Sasa anavua sura ya wendawazimu bandia na kubakiza sura yake halisi. Je, dhamira yake ni ipi hasa?
Na alipokuwa akitamka kwa kurudiarudia "Jesus is Black", alikuwa akituma ujumbe gani? Kwa nani?