Mti uliotoa machozi

Thriller

FLORINE WILHELM SENGA

122

2000

Salome alipoambiwa kuhusu kazi aliyotafutiwa, alijiona mwenye bahati kipekee. Mshahara aliaohidiwa, ulikuwa mkubwa kuliko kazi ya usimamizi wa nyumba aliyopata.

Lakini mara baada kufika katika nyumba hiyo, anakutana na mazingira ya kutatanisha. Kila hatua yake katika nyumba hiyo, inamsogeza kwenye giza lilofunika historia ya kutisha.

Atatoka akiwa salama?